Bado nipo sana Simba - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
16 Jan 2018
Bado nipo sana Simba - Manara
Jana kulikuwa na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Klabu ya Simba imeamua kumtoa kwenye nafasi ya Afisa Habari, Haji Manara kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi.

Taarifa hizo zilienea kwa kasi na kusambaa hasa kwenye magrouup ya mitandao ya kijamii, lakini hakukuwa na tamko rasmi kutoka Simba juu ya maamuzi hayo.

Leo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara amelizungumzia hilo kwa kueleza kuwa hakuna kitu kama hicho na kuwatolea ‘povu’ wale wanamchukia na kusambaza taarifa ambazo siyo za kweli.

"Kuna mtu aliyejitambulisha kama Mwenyekiti wa Group la Yanga WhatsApp supporters makao makuu, anazusha mitandaoni kuwa nimeondoka Simba

"Sitakaa milele pale kama yeye na wenzie watavyoondoka huko walipo, lakini kwa sasa mimi ndiye msemaji wa Simba, Big brand ya nchi.

"Unavyozidi kunichukia ndiyo unazidi kunisogeza…. Kwa mnaoniogopa wote niwaambie na bado," ameandika Manara
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
47m ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →