Kapombe anogesha mazoezi Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Mar 2020
Kapombe anogesha mazoezi Stars

Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ni miongoni mwa wachezaji walioinga kambini na kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinachojiandaa na michuano ya CHAN

Kapombe ambaye awali alitangaza kujiuzulu kuchezea timu ya Taifa, amerejea kikosi na kujumishwa kwenye kikosi kinachotarajiwa kuelekea Cameroon mwezi ujao

Jana ameshiriki mazoezi kikamilifu na wachezaji wengine wa Stars

Hata hivyo upo uwezekano mkubwa michuano ya CHAN itasogezwa mbele kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona ambavyo vimetikisa dunia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’