Nyota walioitwa Stars kuingia kambini leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Mar 2020
Nyota walioitwa Stars kuingia kambini leo

Wachezaji sita kati ya saba wa Simba ambao wameitwa kikosi cha timu ya Taifa, wanatarajiwa kuingia kambini leo kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Tunisia

Ligi itasimamam kwa zaidi ya wiki nne kupisha mchezo huo wa kusaka tiketi ya fainali za kombe la dunia na michuano ya CHAN inayotarajiwa kuanza April 05 huko Cameroon

Nyota wa Simba walioitwa timu ya Taifa ni pamoja na Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Jonas Mkude, Hassan Dilunga, John Bocco na Erasto Nyoni ambaye hata hivyo atachelewa kuripoti kambini kwa kuwa ni majeruhi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’