Unahodha wamuongezea mzuka Gadiel Michael

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Feb 2020
Unahodha wamuongezea mzuka Gadiel Michael

Beki wa kushoto wa Simba na timu ya Taifa Gadiel Michael juzi aliiongoza Simba akiwa nahodha kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho (ASFC) dhidi ya Stand United ambao ulimazika kwa Simba kushinda kwa mikwaju ya penati 3-2 baada ya matokeo ya sare ya bao 1-1

Baada ya kukosa mechi kadhaa, Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck alimrejesha Gadiel kwenye kikosi cha kwanza pamoja na kumpa kitambaa cha unahodha

Gadiel amesema ilikuwa heshima kubwa kwake baada ya kocha kumpa jukumu la kuwaongoza wenzake kwenye mchezo huo

"Nilijisikia furaha sana maana sio jambo dogo kupewa kitambaa kuongoza timu. Nadhani kujituma na nidhamu niliyokuwanayo ndio sababu ya kocha kunipa nafasi ya kuongoza na sikutegemea wala sikuwahi kufikiria kama ipo siku nitakuja kuvaa kitambaa," amesema Gadiel

Gadiel alijiunga na Simba mwezi Juni akitokea klabu ya Yanga sambamba Beno Kakolanya na Ibrahim Ajib

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’