Hans Poppe aula TFF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Feb 2020
Hans Poppe aula TFF

Mmoja wa wadau wakubwa wa klabu ya Simba Zacharia Hans Poppe ambaye kwa nyakati tofauti ameshiriki kwenye michakato ya usajili ya mabingwa hao wa nchi, amepata shavu TFF baada ya kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji

Kamati hiyo inaongozwa na Mwenyekiti Mwanasheria Elias Mwanjala na Said Soud akiwa Makamu Mwenyekiti

Wajumbe wengine wa Kamati hiyo ni Issa Batenga, Wakili Msanifu Kondo na Said George

Pamoja na majukumu mengine ya kinidhamu, kamati hiyo ina jukumu la kulinda haki na maslahi ya wachezaji

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’