Kiwango kilichoonyeshwa na kiungo mshambuliaji Luis Miquissone jana kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar, kiliwavutia wengi!
Habari njema ni kuwa Miquissone alisaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia mabingwa hao wa nchi
Atakuwepo Msimbazi mpaka mwaka 2023...!
Wanamsimbazi walichelewa kuanza kuipata burudani kutoka kwake kwa kuwa ITC yake ilichelewa kufika
ADVERTISE HERE