Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba tayari kimeondoka mkoani Morogoro kuelekea Iringa ambako kinakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumamosi kwenye uwanja wa Samora



ADVERTISE HERE