Aliyekuwa beki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' ametambulishwa rasmi klabu ya LA Galaxy inayoshiriki ligi kuu ya Marekani
Ninja anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kucheza LA Galaxy iliyosheheni nyota waliowahi kutamba barani Ulaya



ADVERTISE HERE