Lipangwile, Cioaba washinda tuzo za VPL Januari

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Feb 2020
Lipangwile, Cioaba washinda tuzo za VPL Januari

Mchezaji wa KMC, Sadala Lipangile ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Januari huku kocha wa Azam, Aristica Cioaba akicheza tuzo ya kocha bora wa mwezi huo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Lipangile ameshinda tuzo hiyo baada ya kuwashinda kiungo wa Simba, Hassan Dilunga na beki wa Azam, Nicolaus Wadada.

Nyota huyo wa KMC, Lipangile ameweka mfukoni Shilingi milioni moja pamoja na king'amuzi cha Azam Tv.

Kocha wa Azam Fc, Cioaba ameshinda tuzo hiyo akiwabwaga Sven Vandenbroeck wa Simba na Malale Hamsini wa Polisi Tanzania alioingia nao fainali.

Kocha huyu amekuwa bora katika mwezi Januari baada ya kuiongoza Azam katika michezo mitano akishinda minne na mmoja akitoka sare.

Tuzo hii inakuwa ya pili kwa kocha huyu baada ya tuzo ya kwanza kuchukua Novemba mwaka jana.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’