Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Morogoro ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumanne kwenye uwanja wa Jamhuri
ADVERTISE HERE