Habari njema kwa mashabiki wa Simba ni kuwa hati ya uhamisho wa Kimataifa (ITC) ya kiungo mshambuliaji Luis Miquissone imewasili
Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha kupokea hati hiyo hivyo Miquissone sasa atakuwa huru kuitumikia Simba katika mechi yoyote
Jana Simba pia ilithibitisha kupokea ITC ya Shiza Kichuya
ADVERTISE HERE