Afisa Habari wa Simba Haji Manara leo atakuwa mkoani Morogoro kuzungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya klabu ya Simba

Manara akiwa na msafara wa baadhi ya viongozi waandamizi wa Simba, wanatangaza zoezi la utolewaji wa kadi za mashabiki ambazo zinapatikana kwenye Matawi ya benki ya Equity kote nchini
Viongozi hao walianzia mkoani Dodoma
ADVERTISE HERE