Sven ataja kilichopunguza kasi ya Simba mechi dhidi ya Namungo Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jan 2020
Sven ataja kilichopunguza kasi ya Simba mechi dhidi ya Namungo Fc

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema vijana wake hawakucheza vizuri mchezo dhidi ya Namungo Fc pamoja na kuibuka na ushindi wa mabao 3-2

Mbelgiji huyo amesema wachezaji walionekana kuwa wamechoka 'fatigue' lakini muhimu zaidi walihitaji alama tatu ambazo walizipata

Aidha Vandenbroeck amekiri kuwa bado wana changamoto na safu ya ulinzi kwani makosa yaleyale yanajirudia

"Hatukuwa na mchezo mzuri pamoja na kuwa tumeshinda. Wachezaji wangu walionekana kuchoka na kupelekea kufanya makosa mengi. Bado tuna tatizo na safu yetu ya ulinzi, tunaendelea kurekebisha makosa," alisema Vandenbroeck

Simba inaendelea na mazoezi leo kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Coastal Union keshokutwa Jumamosi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
16h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
20h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’