Zahera ashiriki kufanya usafi Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jul 2019
Zahera ashiriki kufanya usafi Morogoro

Wanayanga kote nchini wanaendelea na maadhimisho ya wiki ya Mwananchi kwa kujitolea kufanya shughuli mbalimbali za kijamii

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amekuwa sehemu ya Wananchi kwa kujitolea kufanya usafi Hospitali ya mkoa wa Morogoro akiwa na viongozi waandamizi wa timu hiyo

Zahera pia alitoa fedha taslim Tsh Milioni 2.2 kuwasaidia kinamama waliojifungua

Pongezi nyingi kwa kocha Zahera kwani anadhihirisha uwepo wake Yanga sio wa bahati mbaya...!

Ameonyesha kwa vitendo kuwa yeye ni mmoja wa wanafamilia ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’