Sven amfunika Aussems rekodi kanda ya ziwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jan 2020
Sven amfunika Aussems rekodi kanda ya ziwa

Sven Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameipoteza rekodi ya mtangulizi wake, Patrick Aussems kwenye mechi za Kanda ya Ziwa kwa kusepa na idadi kubwa ya pointi na mabao

Simba msimu wa 2018/19, chini ya Aussems kwenye mechi mbili za kanda ya ziwa, mkoani Mwanza iliambulia pointi tatu na mabao mawili huku ikifungwa bao 1-0 na Mbao FC Uwanja wa Kirumba na ilishinda kwa mabao 2-0 mbele ya Alliance FC

Msimu wa 2019/20, Sven amefungwa mabao mawili na amejikusanyia jumla ya mabao sita alianza kushinda mabao 2-1 mbele ya Mbao FC na mbele ya Alliance FC alishinda mabao 4-1 na kumfanya arudi Dar akiwa na jumla ya pointi sita kibindoni

Ushindi huo unaifanya Simba ikusanye jumla ya pointi 41 ikiwa imecheza mechi 16 ipo nafasi ya kwanza tofauti ya pointi 13 na watani zao wa jadi Yanga wenye pointi 28, nafasi ya nne wakiwa wameshuka dimbani mara 15

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’