Miraji Athumani apona majeraha, kurejea kikosini wiki hii

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jan 2020
Miraji Athumani apona majeraha, kurejea kikosini wiki hii

Wakati kina Hassan Dilunga wakiendelea kutupia mabao watakavyo kwenye ligi, kwa wiki kadhaa Simba imemkosa Miraji Athumani mmoja wa wafungaji wake bora sana msimu huu kutokana na majeraha

Habari njema ni kuwa Miraji aliyetupia mabao sita mpaka sasa, amepona majeraha na ataanza mazoezi na timu baada ya mabingwa hao wa nchi kurejea leo kutoka jijini Mwanza

Huenda akawa tayari kuwakabili Mwadui Fc kwenye mchezo wa raundi ya nne kombe la Azam (ASFC) ambao utapigwa Jumamosi, Januari 25 kwenye uwanja wa Uhuru

Kurejea kwake kutaongeza wigo wa watupia nyavu wa Simba wakiongozwa na Meddie Kagere ambaye amefunga mabao 11

Miraji amefunga mabao sita wakati Hassan Dilunga na Deo Kanda wamefunga mabao manne kila mmoja

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’