Mo asifu upambanaji wachezaji Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jan 2020
Mo asifu upambanaji wachezaji Simba

Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, amewapongeza wachezaji wa Simba kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Alliance Fc jana katika mchezo wa ligi kuu

Katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba, Smba ilitokea nyuma na kupata ushindi huo muhimu uliowafanya wafikishe alama 41

Mo ameeleza kufurahishwa na upambanaji ulioonyeshwa na wachezaji mpaka kupelekea wakaondoka na alama zote tatu

"This is Simba!, pamoja na kuw anyuma kwa bao moja wachezaji wlaionyesha upambanaji wa hali ya juu. Mungu awabariki wachezaji wa Simba, benci la ufundi, viongozi pamoja na mashabiki wetu," alisema Mo

Baada ya ushindi huo, kikosi cha Simba kinarejea jijini Dar es salaam tayari kwa ajili ya mchezo wa raundi ya nne kombe la FA dhidi ya Mwadui Fc

Mchezo huo utapigwa Alhamisi, Januari 23 kwenye uwanja wa Uhuru

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’