Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Athumani Juma Chama 'Jogoo''amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Chama aliyewahi kutamba na vilabu vya Pamba na baadae Yanga amekumbwa na umauti akiwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili.
Mazishi ya mkongwe huyo yatafanyika kesho Jumanne kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam, msiba uko nyumbani kwake Yombo Mwisho.
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema, peponi AMEN.

ADVERTISE HERE