Baada ya kushinda michezo mitatu mfululizo, Mtibwa Sugar leo imepunguzwa kasi baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Ruvu Shooting.
Singida United imeendeleza ubabe baada ya kuichapa Kagera Sugar bao 1-0. Stand United imeshinda mchezo wake wa kwanza msimu huu kwa kuichapa Mbeya City mabao 2-1.
Mchezo wa Azam dhidi ya Lipuli umemalizika kwa Azam FC kuondoka na ushindi wa bao 1-0
Azam FC imefikisha alama 10 baada ya ushindi huo inashika nafasi ya pili nyuma ya Mtibwa Sugar.

ADVERTISE HERE