Kiungo mshambuliaji mpya wa Simba Luis Miquissone leo ameanza rasmi majukumu ya kuwatumikia mabingwa hao wa soka Tanzania Bara kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya Zimamoto
Kocha Sven Vandenbroeck alimuingiza Miquissone kwenye dakika ya 77 kuchukua nafasi ya Hassan Dilunga
Mashabiki wa Simba wana matumaini makubwa kwa kiungo huyo mshambuliaji aliyetua kutoka klabu ya UD Songo


ADVERTISE HERE