Viongozi wa Yanga na wale wa matawi ya timu hiyo nchi nzima leo wanakukutana ili kupanga mikakati kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara
Mkutano huo unafanyika Makao Mkuu ya klabu ya Yanga, Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam
Mkakati huo ni moja ya mipango ya uongozi wa Yanga ambao uliahidi kuisogeza timu karibu na Wanachama
Msimu huu viongozi wa Matawi watapewa jukumu la kuisimamia timu katika kila mkoa itakapokuwa ikienda kucheza
ADVERTISE HERE