Kuelekea mchezo dhidi ya Yanga kesho, kocha mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck atazungumza na wanahabari kuweka bayana maandalizi ya kikosi chake kuelekea mchezo huo
Vandenbroeck ataongozana na nahodha John Bocco katika Mkutano huo ambao utafanyika ofisi za TFF kuanzia saa tano kamili asubuhi
Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa 11 jioni katika dimba la Taifa
ADVERTISE HERE