Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Simba ambao ni mabingwa watetezi kesho Jumanne wanafunga mwaka kwa kuikaribisha Ndanda Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Mchezo huo ambao awali ulipangwa kupigwa uwanja wa Uhuru, umehamishiwa uwanja wa Taifa
Uongozi wa Simba umewaalika mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kupata burudani
"Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Ndanda FC utapigwa kesho Jumanne kwenye Uwanja wa Taifa kuanzia saa 10:00 jioni. Wanasimba tujitokeze kwa wingi kushangilia timu yetu."
ADVERTISE HERE