Ninja kuagwa kwa heshima Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jul 2019
Ninja kuagwa kwa heshima Zanzibar

Aliyekuwa beki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' anaelekea nchini Marekani kujiunga na klabu ya LA Galaxy atakayoichezea kwa mkopo msimu mmoja aitokea klabu ya MFK Karvina ya Jamhuri ya Czech ambayo imemsajili

Keshokutwa Jumapili kwenye dimba la Amaan visiwani Zanzibar, kutapigwa mchezo wa kirafiki kati ya wachezaji wa Zanzibar wanaocheza visiwani humo dhidi ya wenzao wanaocheza bara

Mchezo huo ni maalum kwa ajili ya kumuaga Ninja ambaye nafasi aliyoipata huenda ikafungua milango kwa wachezaji wengine wa visiwani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kupata nafasi ya kwenda kucheza ligi kuu ya Marekani maarufu kama MLS

Baada ya mchezo huo, mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi atamkabidhi bendera Ninja kama ishara ya kumtakia kila la heri na akaitangaze vema Zanzibar huko Marekani

Ninja anakwenda kucheza timu moja na Zlatan Ibrahimovic aliyewahi kutamba na timu za Fc Barcelona, PSG na Manchester United

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
20m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’