Vandenbroeck ampa tano Miquissone

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Dec 2019
Vandenbroeck ampa tano Miquissone

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amevutiwa na uwezo wa kiungo mshambuliaji Luis Miquissone ambaye yuko karibu kutua Msimbazi

Inaelezwa uongozi wa Simba kabla ya kumalizana na mchezaji huyo, walimpa nafasi Sven kujiridhisha na uwezo wake kupitia mikanda ya video ya mechi alizocheza akiwa na klabu yake na Mamelodi Sundowns na UD Songo alikokuwa amepelekwa kwa mkopo

"Kocha amemuangalia, ameridhishwa na uwezo wake, ameagiza usajili wake ukamilishwe haraka ili aungane na timu," kilieleza chanzo cha habari

Simba ayari imeshamalizana na Miquissone ambapo hivi karibuni Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Senzo Mazingisa alisema wanasubiri wakati muafaka wamlete nyota huyo

Huenda Miquissone akatua kabla ya mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa Januari 04 kwenye uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’