Leo ndio ilikuwa tarahe ya mwisho kwa Yanga na timu nyingine zitakazoshiriki michuano ya CAF msimu ujao kuwasilisha vikosi vyao
Baada ya leo hadi Julai 31, ili kuandikisha wachezaji wapya, timu inapaswa kulipa faini
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Dismas Ten amethibitisha kuwa wameshawasilisha majina 26 ya wachezaji ambao wataiwakilisha timu hiyo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa
Aidha wachezaji wanne waliobaki wataongezwa baadae kama timu itafanikiwa kutinga hatua ya makundi
Hiki hapa kikosi cha Yanga CAF
1. Farouk Shikalo
2. Metacha Mnata
3. Klaus Kindoki
4. Paul Godfrey
5. Juma Abdul
6. Muharami Issa Marcelo
7. Jaffary Mohamed
8. Andrew Vicent
9. Kelvin Yondani
10. Ally Ally
11. Mustafa Seleman
12. Ally Mtoni Sonso
13. Lamine Moro
14. Papy Tshishimbi
15. Feisal Salum
16. Mohamed Issa Banka
17. Patrick Sibomana
18. Issa Bigirimana
19. Mapinduzi Balama
20. Mrisho Ngassa
21. Deus Kaseke
22. Raphael Daud
23. Abdulaziz Makame
24. Sadney Khoetage
25. Juma Balinya
26. Kalengo Maybin