FT : Simba 6-0 Arusha FC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Dec 2019
FT : Simba 6-0 Arusha FC

Mabingwa wa nchi Simba wamewaadhibu vikali 'machalii wa R Chuga' Arusha Fc baada ya kuwafumua mabao 6-0 katika mchezo wa kombe la FA raundi ya tatu

Mabosi wa benchi la Ufundi Sven Vandenbroeck na Selemani Matola wameanza vyema majukumu yao kunako klabu ya Simba baada ya kushuhudia ushindi huo mnono katika mchezo wao wa kwanza kabisa

Ulikuwa ni mchezo ambao Arusha Fc ilikuwa na wakati mgumu kwendana na kasi ya wekundu wa Msimbazi waliokuwa wakipiga kandanda safi la kitabuni

Mabao ya Simba yaliwekwa kimiani na wachezaji sita ambao ni Clatous Chama, Gerson Fraga, Deo Kanda, Ibrahim Ajib, Meddie Kagere na Francis Kahata

Matokeo hayo ni ujumbe tosha kwa watani zao Yanga ambao watakumbana nao kwenye mchezo wa ligi kuu Januari 04, 2020

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’