Klabu ya Simba imewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi uwanja wa Uhuru leo kwenye mchezo wa kombe la FA (ASFC) dhidi ya Arusha Fc
Mchezo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni
"Mabingwa wa nchi leo tunashuka dimbani kuwakabili Arusha FC kwenye mchezo wa kombe la FA ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck na Kocha Mkuu Msaidizi, Selemani Matol"
"Tujitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu"
ADVERTISE HERE