Wachezaji wapya wa Yanga wameanza kuwasili nchini tayari kwa kuanza mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya
Mzambia Maybin Kalengo, beki kutoka Burundi Mustapha Suleyman na mshambuliaji Mganda Juma Balinya wamekuwa wa kwanza kutua nchini leo
Wachezaji wengine wanatarajiwa kuwasili mwishoni mwa wiki hii tayari kuanza mazoezi kwenye kambi ambayo inatarajiwa kuwa mkoani Morogoro
ADVERTISE HERE