Mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake kati ya Simba Queens dhidi ya Marsh Queens umepelekwa uwanja wa Mo Simba Arena
Klabu ya Simba imeupeleka mchezo huo Bunju kwenye uwanja wake uliokamilika hivi karibuni
Mchezo huo hautakuwa na kiingilio
ADVERTISE HERE