Mkongwe Kelvin Yondani ameondoka Stars akiwa na heshima yake
Licha ya Stars kufanya vibaya nchini Misri, Yondani alikuwa miongoni mwa wachezaji wachache wa Tanzania walion'gara kwenye michuano hiyo
Pengo lake lilionekana dhahiri kwenye mchezo dhidi ya Algeria ambao Stars ilifungwa 3-0
Ameamua kustaafu wakati sahihi kwani ataendelea kukumbukwa kutokana na umuhimu wake
Aidha sasa anabaki na jukumu moja tu la kuibeba Yanga kwenye michuano mbalimbali msimu ujao
ADVERTISE HERE