Kaizer Chiefs inaweza kumtoa Kotei kwa mkopo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Dec 2019
Kaizer Chiefs inaweza kumtoa Kotei kwa mkopo

Kiungo mkabaji wa Kaizer Chiefs James Kotei anaweza kurejea Simba kama uongozi utamuhitaji kwa mkopo imefahamika

Kotei aliyecheza kwa mafanikio Simba kabla ya kuachwa usajili uliopita, amekuwa na wakati mgumu wa kupata namba kwenye kikosi cha Kaizer Chiefs

Wakati huu ambao dirisha dogo la usajili limefunguliwa, pengine Simba inaweza kujaribu kumrejesha kiungo huyo

Inaelezwa Kaizer Chiefs iko tayari kumtoa kwa mkopo nyota huyo ambaye alitua huko Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’