Mechi dhidi ya Lipuli,KMC zapangiwa tarehe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Dec 2019
Mechi dhidi ya Lipuli,KMC zapangiwa tarehe

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba watakuwa na michezo mitatu ya ligi, mmoja wa kombe la FA kabla ya mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa January 04 2020

Kulingana na ratiba iliyotolewa na Bodi ya Ligi, michezo ya viporo dhidi ya KMC, Lipuli Fc na Ndanda imepangiwa tarehe

Disemba 21 au 22 Simba itacheza na Arusha Fc ukiwa ni mchezo wa duru ya tatu kombe la FA (ASFC), utapigwa uwanja wa Uhuru

Disemba 25 Simba itarejea tena Uhuru kucheza na Lipuli Fc ukiwa ni mchezo wa ligi

Disemba 28 itacheza na KMC kisha kucheza na Ndanda Fc Disemba 31

Michezo yote inapigwa uwanja wa Uhuru

Baada ya michezo hiyo, utafuata mchezo dhidi ya Yanga January 04 2020

Simba tayari imeingia kambini ikiwa chini ya kocha msaidizi Selemani Matola

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’