Klabu ya KMC imemtambulisha Mganda Jackson Mayanja kuwa kocha Mkuu wa timu hiyo kuchukua nafasi ya Etinne Ndayiragije aliyejiunga na Azam FC
Mayanja amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuwanoa watoto hao wa Kinondoni
KMC itashiriki michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika msimu ujao pamoja na Azam Fc wakati Simba na Yanga zitashiriki michuano ya ligi ya mabingwa
ADVERTISE HERE