AFC yawapa dili Simba kuhusu Ndemla

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jan 2018
AFC yawapa dili Simba kuhusu Ndemla
Kulingana na mtandao wa SalehJembe, klabu ya AFC ya Sweden inamtaka kiungo Said Hamis Ndemla lakini imesisitiza haina fedha za kulipa badala ya mkataba wa makubaliano.

Mmoja wa maofisa wa AFC amesema, watamchukua Ndemla iwapo Simba watakubali kuingia mkataba unaoweza kuwafadisha mbeleni.

"Fedha za kulipa kama kumnunua hatuna, Simba wanajua unaweza kuzungumza nao," alisema kutoka Sweden.

"Waulize wakueleze vizuri lakini sisi wakikubali tutamchukua na kumlipa mshahara mzuri na akipata nafasi ya kucheza akauzwa, basi tutagawana kwa mujibu wa makubaliano.

"Said (Ndemla) bado ni mchezaji kinda, bado ana CV ndogo na tunahitaji kumkuza na gharama zitakuwa zetu si za Simba."

Ndemla alifanya majaribio katika klabu hiyo na kufanikiwa lakini inaonekana Simba na AFC bado hawajafikia mwafaka katika suala la manunuzi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’