Lwandamina bado yupo sana Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Sep 2017
Lwandamina bado yupo sana Yanga
Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Clement Sanga amesema hakuna kikao chochote ambacho uongozi wa Yanga umekaa kumjadili kocha Mkuu, George Lwandamina.

Sanga ametoa ufafanuzi huo baada ya kuibuka kwa taarifa kuwa Yanga huenda ikaachana na Lwandamina kama atashindwa kufanya vizuri katika michezo mitano ijayo.

Sanga amesisitiza kuwa bado ni mapema kuanza kufikiria kumuondoa kocha wakati bado hakuna sababu ya kufanya hivyo kwa kuwa ligi ndio kwanza imeanza.

"Kwa mfano hiyo pafomansi unaipima vipi kwa mazingira yaliyopo kusema kweli, lakini hatujaamua wala kikao cha jana (juzi) hatujaongelea jambo hilo na wala hakijahusisha hata kidogo masuala hayo," amesema Sanga
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’