Ligi kusimama kupisha michuano ya Chalenji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Nov 2019
Ligi kusimama kupisha michuano ya Chalenji

Michuano ya CECAFA Chalenji inatarajiwa kuanza kutimua vumbi nchini Uganda Disemba 01 mpaka Disemba 19 ambapo Tanzania Bara na Zanzibar zikitarajiwa kushiriki michuano hiyo

Ligi Kuu ya Vodacom itasimama kwa takribani wiki nne kupisha michuano hiyo

Nyota wengi wa kikosi cha Simba wanatarajiwa kujumishwa timu ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' ambayo kocha Etienne Ndayiragije anatarajiwa kuitangaza wakati wowote

Huenda Simba itashuka tena dimbani mwakani January 04 2020 ikiwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Taifa

Huo utakuwa mchezo wa kwanza wa watani wa jadi msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’