Wakongwe wathibitisha kuhudhuria Kubwa Kuliko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jun 2019
Wakongwe wathibitisha kuhudhuria Kubwa Kuliko

Yanga wamepita wachezaji wengi sana tangu miaka ya 60 huko

Wengi wetu tumekuwa tukisikia majina tu lakini ukweli ni kwamba hatuwafahamu wazee wetu hao ambao ndio waliweka msingi wa mafanikio ya Yanga ya leo

Keshokutwa kwenye Harambee ya Kubwa Kuliko itakayofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, uongozi wa Yanga umewapa fursa mashabiki wa timu hiyo kukutana na wakongwe waliopita Yanga katika vipindi tofauti

Katibu wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji Deo Mutta amethibitisha wakongwe zaidi ya 30 wamethibitisha kuwa watakuwepo Diamond Jubilee

Miongoni mwao ni hawa;

1. Mwanamtwa Kihwelo
2. Mohamedi Kampira
3. Makumbi Juma
4. Mohamedi Hussein
5. Saidi Maulidi
6. Kenny Mkapa
7. Petar Tino
8. Selemani Kabulu
9. Ally Yusuph Tigana
10. Sunday Manara
11. Omari Husseni Kegan
12. Bona Bruno
13. Rajabu Tangale
14. Abubakar See
16. Kipanya Malapa
17. Edibily Lunyamila
18. Buruhani Hemedi
19. Salum Kusi
20. Salvatory Edward
21. Selemani Mkati
22. Abeid Mziba
23. Hamisi Kajumulo
24.Shahabani Katwila
25. Sekilojo Chambua
26. Peter Manyika
27. John Mwansasu
28. Mzee Abdallah
29. Iddi Moshi
30. Juma Pondamali

Bado siku mbili tu kabla ya kufanyika kwa hafla hiyo siku ya Jumamosi, Juni 15 2019 ambapo itaanza saa nne mpaka saa 11 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’