Aussems awapongeza wachezaji kwa ushindi dhidi ya Ruvu Shooting

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Nov 2019
Aussems awapongeza wachezaji kwa ushindi dhidi ya Ruvu Shooting

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amewapongeza wachezaji wake kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shootinga leo

Pamoja na tetesi kuzagaa kuhusu hatma yake,  Aussems amesema wachezaji hawakutatizwa na yanayoendelea

"3-0 ushindi mzuri kutoka kwa wachezaji wetu. Pamoja na tetesi na taarifa za uongo, wachezaji wamefanya kazi yao vizuri," ameandika Aussems kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter

Baadhi ya magazeti na vyombo vya habari leo viliripoti kuwa Aussems atakabidhiwa barua ya kuondolewa Simba baada ya mchezo wa leo

Hata hivyo kwa kauli hii aliyoitoa, ni dhahiri jambo hilo halina ukweli wowote

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’