Cannavaro anaamini Yanga itafanya mambo makubwa Kimataifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jun 2019
Cannavaro anaamini Yanga itafanya mambo makubwa Kimataifa

Meneja wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' amesema uhodari waliouonyesha mastaa wa kikosi hicho katika msimu ulioisha anaamini moto huo utaendelezwa katika mashindano ya kimataifa.

Cannavaro alisema Yanga imepata nafasi ya kipekee na wachezaji walikuwa wana hamu kuona wanashiriki michuano ya kimataifa, jambo linalomuaminisha wataonyesha makubwa kimataifa.

"Kitu ukiwa na hamu nacho unakipokea kwa thamani kubwa, hilo naliamini kwa wachezaji wa Yanga ambao walipambana kwa kadri walivyoweza kwenye Ligi Kuu Bara na kumaliza nafasi ya pili licha ya kupitia ukata.

"Yanga ni klabu kubwa nchini, ina uzoefu wa kufanya vyema kimataifa, sina shaka na ushiriki wetu kwa mwaka huu, tutafanya makubwa dhidi ya timu pinzani.

"Kupitia usajili ambao viongozi wanafanya utaongeza nguvu wachezaji waliopo kuwa na kikosi imara chenye ushindani kuanzia ligi kuu mpaka ligi ya mabingwa," alisema Cannavaro.

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’