Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba utapigwa Jumamosi, Novemba 23 kwenye uwanja wa Uhuru
Mchezo huo awali ulikuwa umepangwa kupigwa siku ya Jumapili hivyo umerudishwa nyuma kwa siku moja
Bodi ya ligi imefanya mabadiliko mbalimbali ya michezo ambayo itapigwa wikiendi hii
ADVERTISE HERE