Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinaendelea kujifua nchini Misri kujiandaa na michuano ya AFCON 2019 itakayofanyika kuanzia Juni 21 nchini humo
Stars ilitua Misri Juni 07, leo ni siku ya nne kwa vijana wa Emmanuel Amunike kuendelea kujifua huko Misri



Keshokutwa Alhamisi, Juni 13 Stars inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji wa michuano hiyo Misri
Mchezo huo utapigwa kwenye mpja ya viwanja vitakavyotumika kwenye mashindano hayo
ADVERTISE HERE