Aussems ataja sababu ya kufungwa na KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Nov 2019
Aussems ataja sababu ya kufungwa na KMC

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema kukosekana kwa baadhi ya nyota wake, kumechangia kupoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC hapo jana

Simba ilifungwa mabao 2-1 na KMC katika mchezo ambao haikuonekana kuwa na makali yaliyozoeleka

"Ulikuwa ni mchezo ambao sisi kwetu ilikuwa program ya mazoezi. Tuliwakosa wachezaji wetu wengi ambao wako na timu za Taifa"

"Uchache wa wachezaji ilikuwa changamoto kwetu, baadhi walilazimika kucheza kwa dakika zote 90 licha ya kuwa walikuwa wamechoka"

"Baada ya mchezo huu tunaendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi Novemba 24, hatutakuwa na mchezo mwingine wa kirafiki," alisema Aussems

Agoma kumzungumzia Wilker

Mshambuliaji raia wa Brazil Wilker Da Silva hakuwa na mchezo mzuri jana, hata hivyo Aussems alipoulizwa na Wanahabari tatizo la mshambuliaji huyo aligoma kumzungumzia

"Siko hapa kuzungumzia kiwango cha mchezaji mmoja mmoja," alisema Aussems

Inaelezwa Wilker huenda akaachwa dirisha dogo Simba ikiwa tayari imeanza mchakato wa kusaka mshambuliaji mwingine

Kwani kwa sasa inalazimika kumtegemea Meddie Kagere kutokana na John Bocco kuendelea kuwa majeruhi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’