Kiungo fundi Jonas Mkude hatimaye amerejea kikosini baada ya kupona majeraha
Mkude amekosa mechi mbili zilizopita kutokana na kutokuwa fit baada ya kukosa mazoezi kwa siku kadhaa
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems leo amemjumuisha katika mazoezi ya kikosi chake kinachojiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa keshokutwa Novemba 07 kwenye uwanja wa Uhuru
Fundi amerejea...!





ADVERTISE HERE