Zahera ashusha kiungo mwingine Mnyarwanda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 May 2019
Zahera ashusha kiungo mwingine Mnyarwanda

Baada ya kukamilisha usajili wa Issa Bigirimana na Patrick Sibomana, inaelezwa kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera hajamalizana na Rwanda kwani kiungo mkabaji Mohammed Mushiyimana 'Meddie' kutoka Police Fc naye yuko njiani

Inaelezwa kiungo huyo atatua jijini Dar es salaam leo kukamilisha usajili wake Yanga

Licha ya kucheza namba sita, Mushiyimana anamudu vyema kucheza namba nane

Yanga inamsajili Mushiyimana kujipanga ikitokea kiungo wake Feisal Salum 'Fei Toto' ambaye ameitwa nchini Uingereza kufanya majaribio katika moja ya timu za daraja la pili, kama atafuzu kusiwe na changamoto akiondoka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’