FT : Mwadui Fc 1-0 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Oct 2019
FT : Mwadui Fc 1-0 Simba

Mchezo wa ligi kuu kati ya Mwadui Fc dhidi ya Simba umemalizika kwa mwenyeji kuibuka na ushindi wa bao moja

Mathias Mdemu aliifungia Mwadui Fc bao pekee la ushindi kwenye mchezo huo

Ni matokeo ambayo hayakutarajiwa na wengi kutokana na uimara wa kikosi cha Simba ambacho wakati kinaingia kwenye mchezo huo kilikuwa hakijapoteza mchezo wowote msimu huu

Lakini matokeo ya mpira kuna wakati hayaendi kama inavyotarajiwa

Mwadui Fc wamefaidika na mazingiza ya uwanja wao wa nyumbani

Pamoja na kipigo hicho, Simba bado ipo kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na alama zake 18

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’