UTARATIBU WA MAUZO YA TIKETI YA KUBWA KULIKO
Tiketi za Tukio litakalonyamazisha NCHI zinaanza kuuzwa leo Jumapili 26-05-2019.
Tiketi zote zitauzwa Online kwa utaratibu RAFIKI SANA kwa watu wote kupitia simu zetu za mikononi kupitia TIGO PESA, MPESA, AIRTEL MONEY pamoja na Link, Kwa tiketi za
1. Regular 50,000/=
2. VIME one 100,000/=
3. VIME Two 1,000,000/=
Kwa tiketi za
1. VIP 5,000,000/=
2. VVIP 10,000,000/=
Zitauzwa kupitia Fahari Huduma na CRDB Bank kwa Account No. 0150419775800
CRDB BANK VIJANA BRANCH. (Yanga Collection Account).
DEO MUTTA
KATIBU WA HAMASA
YANGA
26/05/2019
Kununua kupitia TigoPesa

ADVERTISE HERE