Hakuna kulala ndivyo unavyoweza kusema kwa kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba ambacho kesho kinaelekea mkoani Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc
Mchezo huo utapigwa Oktoba 30 kwenye uwanja wa CCM Kambarage
Leo Simba imeendelea 'kujimwambafai' kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuichapa Singida United bao 1-0
Simba imeshinda mechi zote sita ilizocheza mpaka sasa na kujikusanyia alama 18
ADVERTISE HERE