Baada ya kuwa nje kwa zaidi ya wiki tatu akiuguza majeraha ya kifundo cha mguu, beki wa kushoto wa Yanga na timu ya Taifa Gadiel Michael ameanza mazoezi mepesi ufukweni
Gadiel aliumia April 29 katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc, mchezo uliomalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Gadiel atakuwa 'fit' kuweza kuitumikia timu ya Taifa kwenye michuano ya AFCON 2019 itakayofanyika nchini Misri baadae mwezi ujao
ADVERTISE HERE