Simba kuifuata Singida United kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Oct 2019
Simba kuifuata Singida United kesho

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba, kesho Jumamosi kitaelekea mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida United ambao utapigwa Jumapili

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema timu itaondoka mapema asubuhi kwa usafiri wa Ndege ikiwa na kikosi chake kamili

Baada ya mchezo huo ambao utapigwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Simba inapaswa kuelekea mkoani Shinyanga kuifuata Mwadui Fc kwa ajili ya mchezo mwingine ambao utapigwa Oktoba 30 uwanja wa CCM Kambarage

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
55m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’